September 04, 2015

Wafuasi wa Ukawa wakishangilia.   Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji...

 Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimiana na mfuasi wa Ukawa wakati alipowasili katika mkutano wa kampeni katika jimbo la Mtama mkoani Lindi

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.

 Mfuasi wa Ukawa akishangilia wakati wa mkutano wa kampeni katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.

  Mgombea ubunge wa Ukawa jimbo la Mtama, Suleiman Mathew kupitia Chadema akiwa amebebwa juu na wafuasi wake wakati akiingia katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Sokoni mkoani Lindi uliohutubiwa na mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji.Picha na Francis Dande

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE