
Mgombea
wa Urais wa CCM Dr John Pombe Magufuli leo amewapongeza wasanii
@diamondplatnumz @ommydimpoz na @vanessamdee kwa ushindi wao waliopata
katika tuzo za Afrimma zilizofanyika huko Marekani. Magufuli ambaye
amekuwa akitembea na baadhi ya wasanii katika kampeni zake za uraisi
amewaahidi kwamba hatowatupa baada ya kampeni "nipo tayari kwa lolote
lile juu yenu hata kama sitopita"
Souce:seetheafrica
0 MAONI YAKO:
Post a Comment