Watu kumi na nane wameuawa na wengine kujeruhiwa baada ya kutokea
shambulio la kigaidi Kusini-Mashariki mwa Niger, karibu na mpaka na
Nigeria.
Shambulio hilo linahusishwa wanajihadi wa kundi la Islamic State, kundi la kiislamu la Afrika Magharibi, linalojulikana kama Boko Haram.
Aidha inaelezwa kuwa zaidi ya nyumba mia moja zimechomwa moto na huku wana ikidaiwa kuwa watoto wawili wameteketea moto katika tukioh ilo baya
Inaelezwa kuwa baada ya wapiganaji hao kufanya mauaji katika kijiji cha Gogone waliondoka kwa mguu, kuelekea kijiji jirani kilomita kumi na tano kutoka mji wa Bosso, karibia na mpka wa Niger na Nigeria.

0 MAONI YAKO:
Post a Comment