
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Majaliwa Kassim
Majaliwa, amewasimamisha kazi watumishi wengine watatu wa Mamlaka ya
Mapato nchini (TRA) ili kupisha uchunguzi zaidi wa tuhuma
zinazowakabili.
Watumishi hao hawaruhusiwi kusafiri kwenda nje ya nchi hadi uchunguzi dhidi yao utakapokamilika.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment