December 28, 2015

 
Mtangazaji wa kipindi cha Ala za roho cha Clouds Fm Diva Gissele Malinzi @Divathebawse chini ya Founditaion yake ya Diva Foundation akiambatana na Alikiba na mtandao wa www.mtembezi.com walitembelea kituo cha watoto ya tima na wanaoishi katika mazingira magumu  cha KHAYRAAT kilichopo kigogo Dar es salaam katika siku ya Krismasi na kutoa zawadi za misaada yenye thamani ya shilingi milioni 10.Licha ya kula nao chakula cha mchana na misaada hiyo lakini kituo hicho bado kina changamoto kubwa ya nyumba na huduma za msingi za binadamu
 Diva amewaomba watanzania kushirikiana na kuwakumbuka watoto hawa kwani si dhamila yao kuishio katika mazingira wanayoishi sasa
   Tazama hapa chini tukio nzima
                    

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE