December 28, 2015


mgodini (2)Hali ya taharuki kwenye eneo la tukiomgodini (1)Tinga tinga likiendelea na juhudi za uokoaji hivi sasa.
Taarifa zilizotufikia 
Wachimbaji kadhaa wa migodi (idadi yao haijafahamika) hivi punde wamefukiwa na kifusi cha udongo katika Kijiji cha Sangambi kilichopo Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya hivi sasa, Juhudi za kuwaokoa bado zinaendelea muda huu.
Endelea kufuatilia habari zetu ili kufahamu kitakachojiri kuhusu tukio hilo.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE