Huu ni wimbo mpya kabisa kutoka kwa mkongwe kalama Masudi Kala Pina wa Kikosi cha mizinga
Ngoma hiyo mpya yaKalapina "Magufuli Balaa" amemshirikisha Dunga 41 Recs sasa lipo hewani! Wewe unamuonaje Magufuli? Kalapina je? Sikiliza mkito hapo chini
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment