Wafanya kazi wa Bank ya NM Morogoro matawi ya WAMI na Uluguru leo wamehadhimisha Sherehe za Uhuru wa Tanzania Bara kwa kutekeleza Amri ya Rais Magufuli kwa kufanya usafi katika kituo cha afya cha Mafiga mkoani Morogoro
Katika mapeyake Meneja mwagilo ameomba zoezi hili liwe endelevu
Wafanya kazi wa NMB wakiwa katika piya pamoja
Meneja wa NMB Wami Joseph Mwagilo akisaini kitabu cha wageni
Mganga mkuu wa Kituo cha afya Mafiga DR. Msuya akitoa neno la shukrani mbele ya wafanyakazi wa NMB
Joseph Mwagilo Meneja wa NMB wami akitoa neno la shukrani kwa mapokezi waliyoyapata na ushirikiano kwa pamoja
Bark Ofice Meneja wa NMB Wami Mr. Mchomvu akisaini kitabu cha wageni
Watoto wa kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira Hatarishi kutoka chamwino nao walishiriki
Baada ya kazi wafanya kazi wakipata picha
Hapa kazi tu
0 MAONI YAKO:
Post a Comment