Mwanamuziki chipukizi kabisa kutoka mkoani Morogoro anayefahamika kwa jina la Every Day, amekuletea bonge ya wimbo wake unaoitwa Nipe Tamu. Wimbo umefanywa na Producer Sniper katika studio za Tushi Recordz za Mjini Morogoro.
Download hapa chini kisha weka comment yako
0 MAONI YAKO:
Post a Comment