January 19, 2016

Mwanamuziki wa muziki wa Kizazi kipya toka mkoani Morogoro Criss wamarya, baada ya kutamba na nyimbo zake za kilomita sita, sinyorita, tutoke na Cheusi mangala na hatimaye akakaa kimya kwa muda, amekuja tena na wimbo wake mpya unaoitwa Pepea aliomshirikisha rais wa Manzese Madee. Wimbo huo umefanyika katika studio za Mahewa Record za mkoani Morogoro chini ya Producer Matajili Willei. Criss kwa sasa yupo katika menejimenti  ya Salim chuma inayoitwa Chuma Empire
Wimbo huu hapa chini waweza Kudownload sasa

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE