Laana itokanayo na mahusiano ya kimapenzi na mtu mwenye umri mkubwa
Zipo aina 12 za laana na kati ya hizo ni pamoja na ile laana itokanayo na wewe binti ama kijana mdogo kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu mwenye umri mkubwa kama au zaidi ya Baba yako au mama yako.
Watu wengi hawajui kuwa ni laana kuwa na mahusiiano ya kimapenzi na mtu anayekuzidi umri. Na kwamba laana hiyo ina madhara makubwa katika maisha yao laana ambayo inaweza kuwasababishia matatizo makubwa katika maisha yao yote.
Ili uweze kuelewa ni jinsi gani uovu huu wa mahusiano haya ya kimapenzii yanaleta shida ingia youtube sikiliza mafundisho ya Apostle Vincent ili uelewe ni jinsi gani unalaaniwa. Lakini pia katika mafundisho haya utapata kusikia laana nyingine pia itokanayo na kulala na wanyama na laana ya maisha.
Kama hutajiepusha na laana hii utaishia pabaya mwisho wa siku hata kukosa ndoa yako mwenyewe na uzao
0 MAONI YAKO:
Post a Comment