January 09, 2016


mb dog ft lil wayne
 Kumekuwa kuna tetesi mbalimbali kuwa MB Dog yuko katika mipango ya kufanya Collabo na Msanii wa HipHop wa nchini Marekani maarufu kama Lil Wayne.

Meneja wa MB Dog kwa sasa aitwae QS Muhonda katika kipindi cha Bongo Fleva ya Clouds Fm, amethbitisha kuwa wako katika mazungumzo na Management ya Lil Wayne katika kufanikisha hii Collabo, Mb Dog kwa sasa anatamba na video ya nyimbo yake mpya iitwayo sio siri ambayo ameifanya nchini Afrika ya Kusini! Kila laheri Mb Dog.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE