January 06, 2016

Utafiti: Tanzania haipo kati ya nchi 12 Barani Afrika zinazotumia internet yenye kasi. 
Umuhimu wa matumizi ya Internet unazidi kushika kasi kila kukicha, na hii ni list ya nchi 12 zenye internet ya kasi Africa.
12. Namibia ni nchi ya 12 Afrika kati ya zinazotoa huduma ya kasi katika internet.
11. Ukiwa nchi ya Uganda una weza ku download kitu ukatumia 1.58 megabite per second na kuanzia mwaka 2000-2010 idadi ya watu iliongezeka kwa matumizi ya internet kutoka 40,000 hadi 3,200,000.
10. Kasi ya internet ya Morroco unaweza ku download kitu kwa 1.96 Mbps.
9. Speed ya ku-download ya kitu nchi ya Mozambique ni 1.96 mbps.
8. Zimbabwe kasi ya internet imekuwa na speed ya 2.08 mbps.
7. Kasi ya kudownload kitu chochote kwa nchi ya Tunisia 2.12 mbps.
6. Kasi ya kudownload kwa nchi ya Mali ni 2.89 mbps kiasi cha kufanya watu kudownload youtube video.
5. Nchi ya South Africa mtu anaweza akutumia kudownload kitu kwa speed 2.92 mbps.
4. Rwanda download yake ina kasi ya 3.18 mbps, mwanzoni kulikuwa hakuna kasi lakini baada ya makampuni kuwekeza kwenye internet yake imekuwa na speed kali sana.
3. Kenya ipo na kasi ya 3.21 mbps kiasi cha kufanya wananchi kufanya udukuzi kwa haraka.
2. Ukiwa Libya unaweza uka download kitu kwa speed ya 4.79 mbpsc 1. Ghana ndio inashika nafasi ya kwanza kwa kasi zaidi ya 9.80 mbps ikiwa ni nchi inayoongoza kwa internet yenye kasi Africa.
Chanzo : Gazeti la The Guardian.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE