Kampuni ya #Flowhub inayojishughulika na uzalishaji, imewaruhusu wafanyakazi wake kuvuta bangi wakiwa kazini.
Wamiliki wa kampuni hiyo, Kyle Sherman na Chase Wiseman sio tu wameruhusu lakini pia wanawahamasisha kutumia ‘mmea’ huo kazini.
Wakizungumza na CNN, wamedai kama bangi itatumika ipasavyo itasaidia kukuza uzalishaji na utendaji kazi kwenye kampuni yao.
Tayari wameisha zungumza na baadhi ya viwanda vya juisi na Biskuti, ili kuzalisha biskuti na juisi zenye ‘flava’ ya bangi kwa ajili ya ‘staffs’ wao.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment