Nyota wa filamu za Bollywood Amitabh
Bachchan na Kangana Ranaut wameshinda mataji makuu katika tuzo za
kitaifa za filamu nchini India.
Bachchan alishinda tuzo ya
muigizaji bora kwa jukumu lake katika Piku huku Ranaut akiwa muigizaji
bora upande wa wanawake kwa filamu ya Tanu Weds Manu Returns.Tuzo ya filamu bora lilichukuliwa na Bahubali huku Sanjay Leela Bhansali akijishindia mwelekezaji bora wa filamu ya Bajirao Mastani.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment