March 16, 2016

 

Jumamosi ya March 12 kulikuwa na zoezi la utoaji wa tuzo za wanawake wajasiliamali maarufu kama Malkia wa nguvu zilizoandaliwa na Clouds Media Group. Katika zoezi hilo mmoja ya wageni waalikwa alikuwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo mama Anna Mghwira. Leo kupitia ukurasa wake wa Facebook mama Anna amefunguka maneno haya hapa

"Nilishiriki siku ya Malikia wa Nguvu iliyoandaliwa na Clouds media. Wajasiriamali wengi walionesha kazi zao, changamoto zao na mafanikio yao. Nimebaki na swali jinsi ya kusaidia watu kupata mitaji. Mtaji wa kwanza ni mawazo tu juu ya jambo ambalo mtu anataka kulifanya na kulitekeleza...afanikiwe...ninawiwa deni...kumsaidia mtu kufikia ndoto zake japo za fikra tu...!"

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE