Serikali ya Marekani kupitia taasisi yake ya matatizo ya Milenia MCC, ilitangaza mapema wiki hii kusitisha kuipa Tanzania zaidi ya tirioni 1 kwa sababu ya matatizo ya uchaguzi yaliyoikumba Zanzibar.
Leo taarifa imeandikwa na mtandao wa BBC Kuwa makundi mengine 10 yamejitoa katika ufadhili wa Tanzania.‘
kundi la watoa misaada 10 kutoka nchi za magharibi limetangaza kusitisha ufadhili wao kwa bajeti ya serikali ya Tanzania, hii inafuatia uamuzi wa shirika la utoaji misaada la serikali ya Marekani kuondoa msaada kutokana na uchaguzi wa Zanzibar ulivyoendeshwa‘
‘Karibu theluthi moja ya bajeti ya Tanzania ilitegemea msaada mwaka uliopita, kwa hivyo hatua hizo za hivi punde ni pigo kwa mipango ya maendeleo ya serikali mpya
0 MAONI YAKO:
Post a Comment