Mfanyakazi wa shirika la umeme Tanzania TANESCO mkoa Morogoro amefariki Dunia mapema asubuhi ya leo akiwa kazini,baada ya kunaswa na
umeme akiwa juu ya nguzo akifanya marekebisho.
Mashuhuda wa tukio hilo wanasema kuwa
wafanyakazi wa Tanesco walifika katika eneo la tukio kwa nia ya kukaza
waya hizo ndipo mfanyakazi huyo alipopanda juu ya nguzo kwa lengo la kurekebisha ndipo aliponaswa na umeme na kupoteza maisha
Source: thechuma.blogspot.com
0 MAONI YAKO:
Post a Comment