Katika ukurasa wake wa Facebook, Ismail Jussa ameandika hivi
Kuna
kitu hichi kinasambazwa kikidaiwa kwamba ati ni barua ya Naibu Katibu
Mkuu wa CUF, Mhe. Nassor Ahmed Mazrui (ambapo waliotunga wamemuandika ni
Ahmed Nassor Mazrui).
Hakuna kitu kama hicho. Tunawaomba wananchi wote WAKIPUUZE!
Hakuna kitu kama hicho. Tunawaomba wananchi wote WAKIPUUZE!
0 MAONI YAKO:
Post a Comment