
Kulia Kasanula akiwa na Muba Jembe
Leo March 17 Alhamisi 2016, mdau mkubwa wa ubalozini.blogspot.com, John Kasanula anatimiza umri wa miaka .....
Familia ya ubalozini na Machaku Media tunapenda kuungana na wadau wengine na watu wa karibu wa Kasanula kumtakia maisha marefu, kheri na baraka tele. Mungu akuzidishie kwa kila jambo kaka.+
0 MAONI YAKO:
Post a Comment