March 16, 2016

                   

Mwanamuziki  Mariah Carey wanatarajia kufunga ndoa na  billionaire James Packer,ndoa hiyo ambayo itakuwa ni siri inatarajiwa kuhudhuriwa na watu hamsini tu,na inatarajiwa kufungwa katika visiwa vya  Barbuda huko Caribbean.

Kwamujibu wa mtu wa karibu wa wapenzi ameiambia Tmz kuwa Mariah's ameamua kufunga ndoa hiyo katika kipindi cha joto katika visiwa hivyo .

Mariah Carey kuwaalika wageni wachache ambao watasafiri kwa kutumia private jets.

Tayari mwanamuziki ameshaarisha tour yake ambayo alitarajiwa kuifanya  barani Ulaya,ili aweze kupata nafasi ya kumalizia maandalizi ya harusi yake hiyo...

Related Posts:

  • Point za mezani na Mitazamo ya Rage Ismail Aden Rage-Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba SC Mwenyekiti wa zamani wa Simba Alhaj Aden Rage ameungana na wadau wengine kupinga matokeo ya mezani kwakua kuna njia nyingi za kuweza kuepuka timu kupewa au kupokw… Read More
  • Kuhusu Point 3 za Kagera, Simba yaivaa TFF   Klabu ya Simba leo imeibuka na kupinga utaratibu unaotumiwa na TFF katika kushughulikia suala la pointi 3 ilizopewa kutoka klabu ya Kagera Sugar kwa kosa la kumchezesha mchezaji aliyekuwa na kadi 3, huku… Read More
  • LIVE: Barcelona VS Juventus   Muda huu kuna mpambano unaoendelea kati ya Barcelona na Juventus. Tumekuwekea hapa waweza kufwatilia mpaka mwisho ili uweze kujua nini kinajiri katika mpambano huu        &nbs… Read More
  • Brand new Audio song: Mash J - MR. Masumbuko Prod Vennt Skillz   Kutoka mkoani Morogoro katika studio za Kwanza Records zilizopo Forest, Producer Vennt Skillz ametuletea mzigo mwingine uliotoka kwenye mikono yake. Wimbo wa Mash J unaitwa Mr. Masumbuko. Enjoy hapa kwa kuski… Read More
  • Yatakayojiri sherehe za Miaka 53 ya Muungano   Kwa mara ya kwanza wakazi wa Mji wa Dodoma wanatarajia kushuhudia mubashara sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Aprili 26 mwaka huu katika uwanja wa Jamhuri.Sherehe hizo kufanyika Dodoma mwaka hu… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE