March 12, 2016

 

Jumamosi ya March 12 Clouds Media Group Wamefanya Sherehe ya kukabidhi Tuzo kwa Malkia wa nguvu,ambaye ni mwanamke aliyetumia fursa zinazomzunguka na kupiga hatua ikiwa ni pamoja kusaidia jamii.

Sherehe hizo za kuhitimisha kampeni hiyo zimefanyika kwenye Ukumbi wa LAPF Kijitonyama Jijini Dar es salaam ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Spika mstaafu wa Bunge la kumi Mh. Anna Makinda akisindikizwa na mkuu wa Wilaya ya kinondoni Paul Makonda.

3X6A8025 

3X6A8122 

3X6A8002
Tuzo zilizotolewa

3X6A8051
Miss Tanzania 2015-2016, Lilian

3X6A8095
Mc PiliPili

3X6A8115
Msanii Nikki wa Pili 

3X6A8133 

3X6A8145
Katikati ni Msanii Maua Sama Kushoto ni Msanii Dayna Nyange

3X6A8147
Mkurugenzi Mkuu wa vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group- Ruge Mutahaba
3X6A8154
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda


3X6A8207
Mh. Anne Makinda (Spika Mstaafu) 

3X6A8212
Picha ya washindi wa tuzo, waandaaji na Mgeni rasmi

3X6A8230 

3X6A8245
Msanii Linah na Mh Anne Makinda

3X6A7860 


 
3X6A7982 

3X6A7958
Mkuu wa vipindi na Maudhui Clouds Media Sebastian Maganga


3X6A7870  

  
Mgeni rasmi, Spika wa Bunge Mstaafu, Mama Anne Makinda akimkabidhi tuzo, Doris Mollel kutoka Doris Mollel Foundation

Related Posts:

  • Monalisa aibuka muigizaji bora Afrika   Mona akiwa na mpinzani wake Lupita Nyongo toka Kenya   Mrembo na muigizaji mkongwe kwenye tasnia ya filamu nchini Yvonne Cherrie maarufu kama 'Monalisa'  ameibuka mshindi kwenye tuzo za 'The African P… Read More
  • Uchaguzi TLS, Wakili Fatma Karume amlithi Tundu Lissu   Wakili Msomi Fatma Karume ameshinda nafasi ya Urais wa Chama Cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) na kuwa mrithi wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ambaye amemaliza muda wake leo kutumikia nafasi hiyo kama R… Read More
  • Official video: Bora Nife - Aslay X Bahati Mwanamuziki Aslay kutoka nchini tanzania, amevuka mipaka mpaka kufikia code ya +254 namaanisha nchi jirani ya Kenya na kukutana na mwanamuziki Bahati na kufanya huu wimbo wa Bora Nife.      … Read More
  • Usafiri wa Mwendokasi umesitishwa   Kampuni inayotoa huduma katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (UDART) imeamua kusitisha usafirishaji wa abiria kwa baadhi ya njia kuanzia saa 11:00 alfajiri kutokana na kufungwa kwa barabara ya Morogoro eneo la … Read More
  • TANESCO wametoa sababu za umeme kutika leo   Leo April 12, 2018  Shirika la Umeme nchini, TANESCO limetangaza kukosekana umeme katika maeneo mengi nchini kutokana na hitilafu iliyosababishwa na radi kupiga mifumo ya usambazaji wa umeme katika gridi y… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE