BREAKING NEWS: TAARIFA ZA MUDA HUU KUTOKA IKULU KWA RAIS MAGUFULI ZINAZOMHUSU MKAGUZI NA MDHIBITI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CAG)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea
Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kutoka kwa Mkaguzi na Mdhibiti
Mkuu wa Hesabu za Serikali Professa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es
salaam leo Machi 28, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa
wakipitia Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali iliyokabidhiwa na
Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali Professa Mussa Assad
Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakiwa
na watendaji wakuu wa Ofisi ya Mdhibiti na Mkafuzi Mkuu wa hesabu za
serikali baada ya kukabidhiwa Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali
kutoka kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali Professa Mussa
Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016.
PICHA NA IKULU
0 MAONI YAKO:
Post a Comment