Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Jenerali Mstaafu, January Claudio Kisanko katika makaburi ya Kinondoni, Dar
JWTZ wakiongoza msafara wa waombolezaji kuelekea makaburini.
Brass Band ya JWTZ
Picha ya Marehemu Jenerali Kisanko enzi za uhai wake.
jenerali Mstaafu wa JWTZ,
Robert Mboma (wa pili kulia) akiongozana na Viongozi mbalimbali wa ngazi
za juu wa JWTZ pamoja na mke wa marehemu Asteria Kisanko.
JWTZ wakitoa heshima za mwisho.
Waombolezaji wakiwa katika hali ya huzuni.
JWTZ wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu.
Padri aliyeongoza ibada ya mazishi, Fr. Edward Matela wa Parokia ya Mt. Bonaventura- Kinyerezi, Dar
Jeneza lenye mwili wa marehemu likishushwa kaburini.
Baada ya Jeneza kushushwakaburini
.
Mke wa Marehemu, Asteria Kisanko akiweka udongo kwenye kaburi la mmewe.
Watoto wa marehemu wakiweka udongo.
Viongozi wa JWTZ wakiweka
udongo.
Watoto wa marehemu wakiweka mashada ya mauwa.
Mke wa marehemu akisaidiwa.
Watoto wa marehemu wakiweka shada.
Meja Jenerali Mstaafu wa JWTZ, Robert Mboma akiweka shada.
PICHA NA DENIS MTIMA/GPL
0 MAONI YAKO:
Post a Comment