March 28, 2016

 
Baada ya kuvunjika kwa mechi ya Taifa Stars dhidi ya Chad mchezo jliotakiwa kufanyika leo ndani ya uwanja wa Taifa.Mchezo huu umevunjika kufuatia timu ya Chad kujitoa. Shirikisho la soka nchini TFF kupitia kwa Rais wa Shirikisho hilo Jamal Malinzi, limetoa hatma ya mashabiki walionunua tiketi kwa ajili ya mechi hiyo. Kupitia katika ukurasa wake wa Twitter, Rais Malinzi ameandika 

 

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE