Baada ya Mahakama ya hakimu mfawidhi Arusha
kukaa chini na kupitia hoja mbili zilizotolewa na upandea wa mashtaka
na mshitakiwa Mahakama imeridhwa ia kutoa dhamana kwa mtuhumiwa Isaac Abakuki anayetuhumiwa kwa kosa la kumtukana Rais Magufuli kupitia mtandao wa Facebook.
Kama utakuwa unakumbuka vizuri April 15 2016 Isaac Abakuki alifikishwa Mahakamani kwa kosa la kutuhumiwa kumtukana Rais Magufuli, ila leo April 18 hakimu mfawidhi wa Mahakama ya Arusha Augustino Rwezire amempatia dhamana Isaac baada ya kukidhi vigezo ila kesi yake itaendelea tena May 17 2016.
Source:Millardayo.com
0 MAONI YAKO:
Post a Comment