April 30, 2016

Beyonce azimisha uvumi kuhusu ndoa yake na Jay Z
Nyota wa muziki na mke wa msanii Jay Z,Beyonce Knowles alimwimbia mumewe kibao chake cha zamani cha 'Halo' Miami kukomesha uvumi kuwa ndoa yake haiendi vizuri.

 Beyonce aelekeza wimbo wake wa 'Halo' kwa mume wake Jay Z kuthibitisha kuwa bado ana mapenzi ya dhati kwake

Uvumi huo ulianza wiki moja iliyopita baada ya mwanamuziki huyo kutoa albamu yake mpya kwa jina la 'Lemonade'.
Lemonade ni video ya muziki inayoonyesha masaibu anayopitia mwanamke mweusi nchini Marekani.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE