SARABI Music Group
Zifuatazo ni picha za matukio ya uzinduzi wa makala ya “Music is our Weapon” iliyotengenezwa na kikundi kiitwacho “SARABI Music Group” cha nchini Kenya uliofanyika Jijini Dar es Salaam.

Joyce Fissoo
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo (Kulia) akisalimiana na Katibu wa Balozi wa Nigeria Hapa nchini Bi.Abiola Adelupe wakati wa uzinduzi wa Makala ya “Music is our Weapon” iliyotengenezwa na kikundi kiitwacho “SARABI Music Group” cha nchini Kenya uliofanyika jana Jijini Dar es Salaam.

Abiola Adelupe
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo (Kushoto) akiwa na Balozi wa Nigeria Nchini Tanzania Brigedier General Eric Angaye (Kulia) wakati wa uzinduzi wa Makala ya “Music is our Weapon” iliyotengenezwa na kikundi kiitwacho “SARABI Music Group” cha nchini Kenya uliofanyika jana Jijini Dar es Salaam.Katikati ni Katibu wa Ubalozi wa Nigeria hapa nchini Bi. Abiola Adelupe.

Pix6'
Baadhi ya watazamaji walioshiriki katika uzinduzi wa  Makala ya iitwayo“Music is our Weapon” ya  kikundi kiitwacho “SARABI Music Group”   uliofanyika jana Jijini Dar es Salaam.

SARABI Music Group
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo akiwa na Kikundi cha “SARABI Music Group” cha nchini Kenya wakati wa uzinduzi wa Makala ya kikudi hicho iitwayo  “Music is our Weapon” uliofanyika jana Jijini Dar es Salaam.