Mambo vipi ndugu mdau wa Ubalozini.blogspot.com. Tunaomba leo hii tukurudishe nyuma kidogo katika nyanja ya burudani. Tunakupa myda wetu nawe tenga muda wako kuburudika na kibao hiki cha Sea cha kwake Papii Kocha akiwa na baba yake mzee wetu Nguza Viking maarufu kama babu Sea.
April 16, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 MAONI YAKO:
Post a Comment