Rais
wa Burundi, Mh. Pierre Nkurunziza ametuma ujumbe kwa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli juu ya hali
inayoendelea nchini humo huku akiwataka Raia wa Burundi ambao
walikimbilia Tanzania kurejea kwani hali ni shwari. (Soma taarifa zaidi
ya Ikulu hapa chini).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment