April 04, 2016


Millen Magese ni mwanamitindo Mtanzania ambaye amekua akifanya kazi na kuishi nchi mbalimbali duniani ikiwemo South Africa na Marekani, amesumbuliwa na tatizo ambalo limemfanya afanyiwe oparesheni mara 13 mpaka sasa, ungana nae kwenye hii video kujua zaidi


                             

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE