Mpambano uliokuwa ukisubiliwa kwa hamu kubwa kati ya wapinzani wawili wa Hispania, FC Barcelona na Real Madrid, umemaliziki kwa matokeo ya ushindi wa magoli mawili kwa Madrid na Barcelona wakipata goli moja.
ndani ya uwanja wao wa nyumbani wa Camp Nou, FC Barcelona ndio walikuwa wa kwanza kupata goli dakika ya 56 kupitia kwa Gerard Pique, ila dakika saba baadae Karim Benzema akasawazisha na Cristiano Ronaldo akafunga goli la ushindi kwa Madrid dakika ya 85.
Tazama Viseo ya magoli hayo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment