Timu
anayochezea Mtanzania, Mbwana Samatta ya Genk imefanikiwa kuibuka na
ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Zulte-Waregem katika ligi ya nchini
Ubelgiji.
Katika
mchezo huo, Mbwana Samatta aliweza kupachika bao kupitia dakika ya 8 ya
mchezo huo ya kipindi cha kwanza. Mbali na Mbwana Samatta pia mchezo wa
timu hiyo ya Genk Marvin Baudry alifanikiwa kupachika bao la pili
dakika ya 15 na kufanya matokeo kuwa 2-1.
Hata
hivyo wapinzani hao wa akina Mbwana Samatta walifanikiwa kupata bao la
kufutia machozi katika dakikaya 45, kwa njia ya penati iliyofungwa na
Mbaye Leye.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment