April 16, 2016

  

Mwanamuziki wa Hit song kibao toka nchini Nigeria, Yemi Alade katika ukurasa wake wa Instagram alipost kipande cha Video ya Wimbo Dayna Nyange wa angejua, lakini katika maneno aliandika kuhusu wimbo wake wa Ferarri, hii ilikuwa shida aisee, mwanamuziki mkubwa Afrika Yemi Alade kwenda kupost Video ya Dayna na kuandika maneno ya wimbo wake.

            Dayna Nyange                                                                                            Yemi Alade


Dayna Nyange akafunguka haya kwa Millard Ayo

                         

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE