Hatimaye ile ndoto ya muda mrefu ya Watanzania kuona daraja la Kigamboni likikakamilika imewadia baada ya ujenzi ulioanza mwaka 2012 kukamilika na kesho Aprili, 19 linataraji kuzinduliwa na Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.


 
 
  

 
   
 Akina mama hawa na watoto wao walikuwa ni miongoni mwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam wanaofika kulishangaa daraja hilo la kisasa


Barabara inayoelekea kwenye daraja hilo