Yule aliyekuwa mchambuzik wa masuala ya kisiasa kipindi cha kampeni za uchaguzi mwaka 2015 Hamphrey Polepole ameteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Musoma mkoani Mara. Uteuzi huo umetangazwa leo na Rais John Magufuli
April 18, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment