April 17, 2016

Tokeo la picha la chura behind the scene 
 Mkali wa stage na nyonga mwana dada Snura anayetamba na wimbo wake wa Chura, amefanyia video ya wimbo huo. Video imefanyika Kigamboni chini ya DR. Pablo. Video ipo njiani kutoka lakini hapa tumekuwekea  jinsi uandaaji wa video hiyo ulivyokuwa unafanyika.

  


Tuungane na Camera ya Harakati za Bongo TV kukuletea sehemu ya maandalizi ya Video hiyo


                            

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE