April 15, 2016

Video ya wimbo wa AY, ‘Zigo Remix’, umeshika namba moja kwenye chati za Trace TV.

Hatua hiyo imekuja baada ya wimbo huo kuvunja rekodi kadhaa kwenye muziki wa Bongo Fleva, ukiachana na ile ya kupata views milioni moja ndani ya wiki moja bila ya kusahau ile ya kupata viewes milioni tano ndani ya siku 68.
Wimbo huo umefanikiwa kushika namba moja kwenye chati za Trace TV baada ya kukaa kwenye top ten za chati hiyo kwa wiki kadhaa.
Hii ni moja kati ya hatua kubwa iliyofanywa na Ambwene Yessayah aka AY, kwa kutumia hela nyingi na kuwekeza kwenye wimbo huo.
Hongera sana AY, Keep it hard brother.

CHANZO na Bongo5

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE