May 28, 2016

 

Baada ya kukaa imya kwa muda mrefu sana, hatimaye mkali wa muziki wa bongo  fleva aliyewahi kutamba na nyimbo kama Litha, Bembeleza, Milele na nyingine nyingi Marima Lawrence   Marlaw ametuletea Video yake mpya inayoitwa Pamoja akiwa na Fundi Samweli


                   
 

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE