Chura wa Snura anazidi kusambaa duniani kwa kasi. Clip
zinazowaonesha wanawake watatu wakipika chakula huku wakitikisa mizigo
yao kwa kuucheza wimbo huo maarufu haijashia kutrend Afrika tu bali hadi
Marekani.
Kipande hicho cha video kimetrend Marekani, shukrani kwa mchekeshaji
Maarufu Lil Duval. Mchekeshaji huyo aliipost video hiyo kwenye akaunti
yake ya Instagram yenye followers zaidi ya milioni moja na kuandika:
“Why would a man want an independent American women when u can go grab u 3 of these? bitches better step yo game up .”
Mtandao maarufu wa World Star Hip Hop uliirepost video hiyo kwenye akaunti yake yenye followers milioni 17.
Hata hivyo huenda Snura akapata kikwazo kutoka kwa serikali. Leo
wizara Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo inakutana na
waandishi wa habari kuzungumza kuhusu video hiyo. Jibu la madhumuni ya
mkutano huo utalipata baadaye
0 MAONI YAKO:
Post a Comment