
Watengenezaji wa meli wamesema hii ndio meli kubwa zaidi duniani itakayokuwa ikibeba abiria. Meli hii imepewa jina la Harmony of the Seas.
Inawafanya
kazi 3,000,inauwezo wa kuchukua abiria 6780, kwa wiki kutembea na hii
meli ni £900 kwa mtu mmoja, ila kwenye eneo la bata ni £2,760 kwa mtu
mmoja.
Watengenezaji
wa meli hii wanasema imechukua miezi 32 kujenga meli hii ya Harmony of
the Seas, ni meli ya 25 kwenye meli za Royal Caribbean International
fleet.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment