Rais wa zamani wa Burundi Kanali Jean-Baptiste
Bagaza amefariki akitibiwa nchini Ubelgiji.
Kanali Bagaza amekuwa akitibiwa kwa muda
katika hospitali ya Sainte Elisabeth mjini Brussels.
"Imethibitishwa, rais wa zamani Jean Baptiste
Bagaza amefariki dunia akiwa nchini Ubelgiji,2
ameandika mshauri wa rais wa Burundi Willy
Nyamitwe kwenye Twitter.
"Alikuwa seneta maisha.”
Kanali Bagaza aliingia madarakani Novemba 1976
kupitia mapinduzi ya kijeshi.
Aliondolewa madarakani kupitia mapinduzi
mengine yaliyoongozwa na binamu wake Meja
Pierre Buyoya Septemba 1987.
Breaking : HAYA HAPA MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2026,
UALIMU 2026
-
Bofya Kuona Matokeo
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Mtihani wa
Kidato cha Sita 2026, yakionyesha ongezeko la ufaulu ...
5 hours ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment