May 05, 2016

Roma amedai kuwa ataendelea kuimba nyimbo zenye ujumbe hadi uje utawala utakaobadilisha taifa na kumfanya aanze kuimba kuhusu kula bata na starehe.

 Roma amedai kuwa ataendelea kuimba nyimbo zenye ujumbe hadi uje utawala utakaobadilisha taifa na kumfanya aanze kuimba kuhusu kula bata na starehe.

“Najaribu kutafuta utawala au uongozi utakaonifanya niimbe bata, nikianza kuimba bata ina maana tumeshinda vita, na sasa naimba kula bata na kuimbia babies ila sasa naendelea kushindilia ili nibaki kuwa mwanaharakati hapa Tanzania,” Roma aliiambia Fahamu TV.
“Unajua hii ni biashara na inaniathiri maana natakiwa kulipa studio na pia Roma yupo nyuma ya watu maana nafanya muziki biashara ila ngoma kama “Viva” ilifungiwa lakini ndio ikawa kubwa japo hatupewi sababu hasa za msingi kufungiwa kwa ngoma zetu,” aliongeza.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE