June 25, 2016

diamond platnumz bet 2016

Diamond Platnumz pamoja na wasanii wengine toka Afrika walikuwa wakiwania tuzo ya Best International Act: Africa na matokeo yametangazwa huku mwanamuziki Black Coffee kutoka Afrika Kusini ndiye aliyenyakua tuzo hiyo.

ww 
Mwanamuziki Black Coffee kutoka Afrika Kusini baada ya kutangazwa mshindi.

Black Coffee ameweka historia baada ya kuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika Kusini kushinda tuzo ya BET.
Tuzo za wanasnii wengine wa kimataifa zinatarijiwa kufanyika kesho Jumapili Juni 26, Marekani.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE