Brand New Audio: Alay - Nibebe
Mwanamuziki anayetamba kwa kuachia hit nyingi sana kwa sasa nchini tanzania Aslay, ametuletea wimbo wake mpya kabisa unaitwa Nibebe
…Read More
Zitto Kabwe akamatwa Morogoro, awekwa ndani
Kiongozi na mbunge wa Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo Ndugu zitto Kabwe, anashuikiliwa na jeshi la Polisi Mkoani Humo. Kwa mujibu wa taarifa za kichama kupitia ukurasa wa Twitte, Ndugu zitto amepelekwa …Read More
Mtanzania adakwa na dawa za kulevya
Mwanamke raia wa Tanzania Basaida Zena Jaffary amehukumiwa miaka 5 jela
baada ya kukamatwa akiwa na mzigo wa dawa za kulevya Kilogram 2.3, aina
ya Cocaine na Heroine, zinazokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya
Milioni 1…Read More
Dayna Nyange,''Nilipopata ujauzito sikuwa najua''
Msanii wa muziki Bongo, Dayna Nyange amefungua tetesi za kuwa mjamzito.
Hitmaker huyo wa ngoma ‘Komela’ ameiambia XXL ya Clouds Fm kwa sasa hana
ujauzito ila anachokumbuka kwa sasa ni ujauzito wake wa kwanza ambao
aliup…Read More
Papaa Misifa aishauri serikali jambo hili
Meneja wa wasanii ambaye ametoa wasanii wengi bongo, Papa Misifa,
ameitaka serikali kutoweka sheria kali kwa wasanii na mameneja wao,
kwani itawagharaimu vijana hao ambao kwa namna moja au nyingine
wanajaribu kujikwamua…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment