June 25, 2016

tid
TID anaendelea kumuenzi rafiki yake kipenzi, marehemu Albert Mangwea kwa style ya aina yake.
Mnyama amejichora tattoo zenye majina ya hits za Ngwair.
Baadhi ya nyimbo ambazo TID ameziandika ni pamoja na She Got A Gwan, Mikasi, Dakika Moja, CNN, Ghetto Langu, Fly Away na AKA Mimi.
Wawili hao walikuwa karibu kiasi cha kuanzisha kwa pamoja label ya Radar Entertainment.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE