Baada ya kupotea kwa muda, hatimaye Mwanamuziki Quick Rocka amekuja kwa staili hii mpya. Ameachia wimbo wake leo unaitwa Mwendokasi akimshirikisha Chin Beez
SHAFFIH DAUDA AUNGANA NA KINA MADEGA UCHAGUZI MKUU TFF
Jumla
ya wanamichezo 58 wamerusha fomu kuomba kuteuliwa kuwania nafasi
mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu
Tanzania (TFF) na ule wa Bodi ya Ligi Kuu (TPL Board) uta…Read More
RAY C AWAPELEKA WAATHIRIKA WA MADAWA MUHIMBILI NA MWANANYAMALA
ehema
Chalamila the award winning singer ambaye aliathirika na matumizi ya
dawa za kulevya na baadae kupona. Ameendelea kuwa kioo cha jamii kwa
ku-share experience yake baada ya kupona kwenye ishu ya dawa za kulevya.
&n…Read More
MZIKI GANI YAMPA NAY ML 20
Mwanamuziki
wa Hip Hop Bongo,Elibarik Emanuel‘Nay Wa Mitego’amefunguka kwa mara ya
kwanza kuwa ngoma yake ya Muziki Gani aliyomshirikisha Nasib
Abdul‘Diamond Platinumz’ imemuingizia mkwanja wa shilingi milioni 20.…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment