Cloudsmediagroup imeingia makubaliano na #AzamMedia kwaajili ya kuonyesha mashindano ya #SportsXtraNdondoCup2016
kupitia Azam two na Azam sports HD......uzinduzi rasmi ni siku ya
Jumapili uwanja wa Bandari kati ya mabingwa watetezi Faru Jeuri vs
Temeke Market kuanzia saa 6 mchana, live Azamtv
Sentesnsi 7 za Lowassa hizi hapa, akana kuhusika na Richmond
Waziri Mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa.
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa amesafirisha wahariri wakuu
wa vyombo vyote vya habari toka Dar es salaam na kufanya nao mkutano
maalum leo nyumbani kwake mji…Read More
Zitto Kabwe achukua rasmi fomu za Ubunge
Safari ya mbunge wa zamani wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chadema,
Zitto Kabwe kurejea bungeni imeanza rasmi baada ya kiongozi huyo wa
chama kipya cha ACT-Wazalendo kuchukua fomu za kuwania kuongoza jimbo la
K…Read More
Juma nature na msaga sumu, waachia hii hapa mpya
Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva toka Temeke Sir. Juma Kasin Ally Mohammed Kiroboto maarufu Juma Nature, Kibra amekuletea hii hapa Inaniuma sana ikiwa ni Remix aliyomshirikisha rais wa vigodoro Tanzania Msagasumu.…Read More
wadau wapinga Matokeo ya Tuzo za watu
Kama mjuavyo hakuna tunzo inayo kosa mikasa na maneno na hii uonesha jinsi tunzo zinavyo wagusa wengi!
Na Tunzo iliyokuwa ina wagusa wengi ni tunzo ya msanii wa kiume anaye pendwa na wengi ambayo imekwenda …Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment