Aidha baada ya kuchukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa klabu hiyo ameeleza kuwa ameeleza kuwa kuna baadhi ya watu kwa kushirikiana na TFF wanahujumu uchaguzi wa klabu hiyo, pia amewasimamisha wanachama wote waliosikika kwenye audio ya watu wanaopanga kuhujumu uchaguzi wa Yanga na mwisho ameitaka TAKUKURU kufanya uchunguzi ili kuweza kubaini watu wanaotaka kuhujumu uchumi.
“LENGO KUU LA KUSHIRIKI MAONESHO HAYA NI KUTOA ELIMU KWA UMMA” –
MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
-
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari amefanya ziara ya
kutembelea maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba
yanayoendelea katika vi...
2 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment