Mtaalamu mmoja wa masuala ya usalama wa mitandaoni nchini Austria amebaini namna mpya ambavyo nywila (namba ya siri) ya kadi yako ya benki inavyoweza kurudufishwa na kutumika kutolea fedha kwenye akaunti yako.
Amesema kuwa alikuwa ameenda kwenye ATM Vienna na alipofika alishikwa na wasiwasi na kuamua kugusa sehemu ya kuingizia kadi na kubaini kuwa kuna kifaa kilichokuwa kimewekwa na kimefanana na tundu la kuingizia kadi (ATM Skimmer) ambacho mara tu unapoweka namba yako ya siri basi chenyewe kinaihifadhi na baadae watu kutoa fedha kwenye akaunti yako.
Tazama video hii hapa chini.
Hivyo unashauriwa kutikisa sehemu ya kuingizia kadi yako kabla ya kuingiza kadi ili kuweza kufahamu kama kifaa kilichopo ni halisi au kimeongezwa kingine juu yake. Kama kimeongezwa kingine kiondoe kabla hujatumia ATM

0 MAONI YAKO:
Post a Comment